Go Back   2023 2024 MBA > MBA > Online MBA Discussions

  #1  
Old 27th October 2016, 12:32 PM
Senior Member
 
Join Date: Aug 2012
Default MJOMBA Waite download

Discuss about mjomba waite download here. Welcome to MBA.ind.in and this page is for mjomba waite download discussion. If you are looking for mjomba waite download then ask your question is as much details as possible in the “Quick Reply” box provided below. The more detailed your question will be, the more easy will it be for our experts to answers your query. And if you have any information on mjomba waite download, then please share you knowledge with our viewers in the “Quick Reply” box. You knowledge can help many people. Thanks for stopping by at MBA.ind.in. Please visit again.
Reply With Quote Quick reply to this message
  #2  
Old 22nd March 2018, 04:53 PM
Unregistered
Guest
 
Default Re: mjomba waite download

Hii sir, I Wants to get the Song MJOMBA Waite With Lyrics Can you Please Provide It ?
Reply With Quote Quick reply to this message
  #3  
Old 22nd March 2018, 04:54 PM
Super Moderator
 
Join Date: Mar 2013
Default Re: mjomba waite download

As you Asking for the Song MJOMBA Waite With Lyrics the Lyrics of the Song is given below

Lyrics

waite
waite wakalishe chini
watoe hofu kwanza

wambie wao hawamo
japo na wao walikula
waite 2
mjomba chutama
sisi niwaungwana na muungwana
akivuliwa nguo huchutama
kuna baadhi ya michezo ukishindana
peke yako lazima uwe mshindi
lakini kwa mchezo ule uliwahitaji
ilikukuongezea mashabiki
nawashwngiliaji wenye sauti zisizo kauka
japo mwiba wakujichoma hauna pole
usitenganishwe na mto wakati kunangalawa mjomba
walivyo anza mjomba hakuna aliye dhani
kwanza walifika mapema
mmoja wao akaandikisha jina lake
kwaniaba ya wengine japo wote wanamajina yao na hayafanani
jina lako nani mimi unatoka wapi
kwetu unakwenda wapi humu ndani
kikazi au binafsi nani mimi aaaa
wakaingia haujachelewa mjomba
waite.
()
mjomba ukipewa kuosha maiti wew ni zaidi ya ndg wanaamini kwamba huwezi kizulu
waliingia wakajipanga kwa sauti zao
yakwanza mpaka ya nne
wakaanzisha mapambio
basi ikawa hivyo tu
watu wakilia wanatoa pole
watu wakilia wana toa pole
nawandishi kwa utashi wao wakaandika
msiba umefana kweli hakuna alie lia nje ya key hehehehehehehehe
waite
mjomba ushauri wangu waite
wakalishe chini
watoe hofu kwanza
kisha waambie
muungwana hanuni kwa mashavu hununa moyoni
wao hawahusuki wala hawamo
waje tu kuwa mashahidi
kwakuwa nao walikuwepo na walikula
japo kuwa hawakujua umemtoa wapi mbuzi huyo
ushahidi wao mjomba utakusaidia kwa vitu viwili
yakwenye historia au kwenye ushindi
siku zote mjomba huwa nakuambia
anaekula kwa mikono miwili hawezi kushiba kamwe
never
mimi pia nakumbuka kweli nilimuona
akikuwa mbuzi tena mdogo tu
wala sio ngombe kama wanavyo dai
hii nizawadi tunakupa nenda ukale utukumbuke
utukumbuke
leo hii wanasema alikuwa ngombe mdogo
wengine eti oo kweli alikuwa mbuzi
ila angekuwa akawa ngombe
mjomba kuna aina tatu tu za kujibu
maswali
swali kwa swali
swali kwa naelezo
swali kwa mkato
wajibu tu kwa mkato

The Song Can be Download from the Following Sites

indundi.
greatlakesmix
mp3search.fun
Reply With Quote Quick reply to this message
Reply


Quick Reply
Your Username: Click here to log in

Message:
Options




All times are GMT +5.5. The time now is 02:21 PM.


Powered by vBulletin® Version 3.8.7
Copyright ©2000 - 2024, vBulletin Solutions, Inc.
Search Engine Friendly URLs by vBSEO 3.6.0 PL2

1 2